The following links lead to the full text from the respective local libraries:
Alternatively, you can try to access the desired document yourself via your local library catalog.
If you have access problems, please contact us.
239 results
Sort by:
In: Verbal art and documentary literature in African languages volume 36
In: Topics in interdisciplinary African studies 37
Cover -- Title page -- Copyright page -- Yaliyomo -- Shukurani -- Utangulizi -- Maisha Yangu -- Kuzaliwa na maisha ya kijijini enzi za ukoloni -- Baba anifundisha kusoma na kuandika -- Mwanafunzi awa kichocheo kwangu kwenda shule -- Kusomea ualimu -- Mabadiliko ya kuanza mafunzo ya ualimu -- Kujiunga na Jeshi la Polisi -- Muundo wa Jeshi la Polisi enzi zile -- Kuhamishwa -- Mafunzo Chuo cha Polisi Moshi -- Ulinzi wa Viongozi wa Nchi -- Kwa nini viongozi hulindwa? -- Doria wa chama cha TANU kabla ya uhuru -- Kuandaliwa kwa ulinzi wa Rais kabla ya uhuru -- Sikujua nasailiwa kama mlinzi mtarajiwa wa Rais -- Kwenda kusoma Uingereza -- Kurudi kutoka Uingereza -- Napelekwa Government House (Ikulu) -- Kuanzishwa kwa utaratibu wa kulinda viongozi -- Siku ya uhuru -- Kumlinda Mwalimu Nyerere na Kumuelewa Zaidi -- Kwenda ibada kanisani -- Kufahamu mila na desturi za kabila lake -- Mzimu wa muhunda -- Hakupenda kujitweza wala kukubali heshima asiyostahili -- Hakuwa na upendeleo -- Aliheshimu wazazi wake na wazee -- Michezo -- Aliacha ghafla kuvuta sigara na kunywa bia -- Utani -- Kujiuzulu kazi ya ualimu -- Kujiuzulu kama mjumbe wa baraza la kutunga sheria -- Kujiuzulu wadhifa wa Waziri Mkuu -- Mwisho wa kushangilia makosa ya wakubwa -- Mabadiliko Baada ya Uhuru -- Uhuru kuunganisha maadui -- Mbinu za kuning'oa za kwama -- Hatua za kutoa ubinafsi, fitina katika chama na serikali -- Baba wa Taifa alipunguza mshahara wake -- Kutotaka vitu vya anasa -- Kupanda gari la zima moto -- Uadilifu wa kiwango cha juu -- Kutopenda uonevu au mtu kunyimwa haki yake -- Hakutaka ulinzi mkubwa -- Kijijini kwao Butiama -- Alikataa familia yake kulindwa rasmi -- Kamishna wa Polisi mwananchi wa kwanza -- Mkurugenzi wa kwanza mwananchi idara ya usalama ya taifa -- Kuhudhuria tena masomo nchi za nje -- Kifo cha Rais John F. Kennedy -- Kujipanga upya kwa mapambano ya kazi.